Nbc Premier League

Kocha Rachid Taoussi asema Azam FC imejizatiti kwa mabadiliko mapya

Kuelekea katika Mchezo wa Kesho wa Ligi kuu ya NBC kati ya wenyeji walima Alizeti, Singida BS dhidi ya Wanalambalamba Azam Fc.

ISOME NA HII >> Atletico Madrid: A Complete History of the Spanish Football Giant

Tunajua si rahisi kwasababu Singida inawachezaji wazuri nanilipokuja Tanzania ilikuwa katika viwango, na hii ni Azam mpya, tuna ari ya Mchezo nanilazima tuweke utofauti wa alama ndio maana tumekuja Singida” Kocha Mkuu wa Azam Fc Rachid Taoussi.

KOCHA WA SINGIDA BLACK STARS

“Sisi kama Singida BS tumejiweka katika nafasi bora namba nne(4), kitu muhimu zaidi naomba wanasingida wote wafike kwa wingi Uwanjani kama walivyokuja kule babati” Kocha Mkuu wa Singida BS David Ouma Taoussi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button